Kumbukumbu 30:12
Deuteronomy 30:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hakiko juu mbinguni, ili uulize, “Ni nani atakayepanda mbinguni kukileta na kututangazia ili tuweze kutii?”
Deuteronomy 30:12 in English
Deuteronomy 30:12 · Berean Standard Bible
It is not in heaven, that you should need to ask, ‘Who will ascend into heaven * to get it for us and proclaim it, that we may obey it?’
Context
10kama ukimtii Bwana Mungu wako, na kuzishika amri zake na maagizo yake ambayo yameandikwa katika Kitabu hiki cha Sheria, na kumgeukia Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote. 11Ninachokuagiza leo sio kigumu sana kwako au usichokiweza. 12Hakiko juu mbinguni, ili uulize, “Ni nani atakayepanda mbinguni kukileta na kututangazia ili tuweze kutii?” 13Wala hakiko ngʼambo ya bahari, ili uulize, “Ni nani atakayevuka bahari kwenda kukichukua na kututangazia ili tupate kutii?” 14La hasha! Lile neno liko karibu sana nawe; liko kinywani mwako na ndani ya moyo wako ili uweze kulitii.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.