Native Bible

Deuteronomy 3:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa hiyo tulikaa kwenye bonde karibu na Beth-Peori.

Deuteronomy 3:29 in English

Deuteronomy 3:29 · Berean Standard Bible

So we stayed in the valley opposite Beth-peor.

Context

27Kwea juu ya kilele cha Pisga uangalie magharibi, kaskazini, kusini na mashariki. Iangalie hiyo nchi kwa macho yako, kwa vile wewe hutavuka Yordani. 28Lakini mwagize Yoshua, mtie moyo na umtie nguvu, kwa kuwa yeye atawaongoza watu hawa hadi ngʼambo na kuwarithisha nchi utakayoiona.” 29Kwa hiyo tulikaa kwenye bonde karibu na Beth-Peori.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.