Native Bible

Deuteronomy 28:42 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Makundi ya nzige yatavamia miti yako yote na mazao ya nchi yako.

Deuteronomy 28:42 in English

Deuteronomy 28:42 · Berean Standard Bible

Swarms of locusts will consume all your trees and the produce of your land.

Context

40Utakuwa na mizeituni katika nchi yako yote, lakini hutatumia hayo mafuta yake, kwa sababu zeituni zitapukutika. 41Utakuwa na wana na binti lakini hawatakuwa nawe, kwa sababu watachukuliwa mateka. 42Makundi ya nzige yatavamia miti yako yote na mazao ya nchi yako. 43Mgeni anayeishi miongoni mwako atainuka juu zaidi na zaidi kuliko wewe, lakini wewe utashuka chini zaidi na zaidi. 44Yeye atakukopesha, lakini wewe hutamkopesha. Yeye atakuwa kichwa, lakini wewe utakuwa mkia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.