Native Bible

Deuteronomy 28:41 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Utakuwa na wana na binti lakini hawatakuwa nawe, kwa sababu watachukuliwa mateka.

Deuteronomy 28:41 in English

Deuteronomy 28:41 · Berean Standard Bible

You will father sons and daughters, but they will not remain yours, because they will go into captivity.

Context

39Utapanda mashamba ya mizabibu na kuyapalilia, lakini hutakunywa divai yake wala hutakusanya zabibu, kwa sababu wadudu watazila. 40Utakuwa na mizeituni katika nchi yako yote, lakini hutatumia hayo mafuta yake, kwa sababu zeituni zitapukutika. 41Utakuwa na wana na binti lakini hawatakuwa nawe, kwa sababu watachukuliwa mateka. 42Makundi ya nzige yatavamia miti yako yote na mazao ya nchi yako. 43Mgeni anayeishi miongoni mwako atainuka juu zaidi na zaidi kuliko wewe, lakini wewe utashuka chini zaidi na zaidi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.