Native Bible

Deuteronomy 28:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Anga juu yako itakuwa shaba, na ardhi chini yako itakuwa chuma.

Deuteronomy 28:23 in English

Deuteronomy 28:23 · Berean Standard Bible

The sky over your head will be bronze, and the earth beneath you iron.

Context

21Bwana atakupiga kwa magonjwa mpaka akuangamize kutoka nchi unayoingia kuimiliki. 22Bwana atakupiga kwa magonjwa ya kudhoofisha, kwa homa na kuwashwa, hari na kwa ukame, kutu na kuwa na uchungu ambavyo vitakupiga mpaka uangamie. 23Anga juu yako itakuwa shaba, na ardhi chini yako itakuwa chuma. 24Bwana atafanya mvua ya nchi yako kuwa mavumbi na mchanga; vitakujia kutoka angani mpaka uangamie. 25Bwana atakufanya ushindwe mbele ya adui zako. Utawajia kwa njia moja lakini utawakimbia mbele yao kwa njia saba, nawe utakuwa kitu cha kuchukiza kwa falme zote za dunia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.