Kumbukumbu 27:11
Deuteronomy 27:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Siku ile ile Mose akawaagiza watu:
Deuteronomy 27:11 in English
Deuteronomy 27:11 · Berean Standard Bible
On that day Moses commanded the people:
Context
9Kisha Mose na makuhani, ambao ni Walawi, wakawaambia Israeli wote, “Nyamaza ee Israeli, sikiliza! Sasa umekuwa taifa la Bwana Mungu wako. 10Mtii Bwana Mungu wako, na kufuata amri zake na maagizo ninayokupa leo.” 11Siku ile ile Mose akawaagiza watu: 12Mtakapovuka Mto Yordani, makabila haya yatasimama juu ya Mlima Gerizimu kubariki watu: Simeoni, Lawi, Yuda, Isakari, Yosefu na Benyamini. 13Makabila haya yatasimama juu ya Mlima Ebali kwa kutamka laana: Reubeni, Gadi, Asheri, Zabuloni, Dani na Naftali.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.