Native Bible

Deuteronomy 27:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha Mose na makuhani, ambao ni Walawi, wakawaambia Israeli wote, “Nyamaza ee Israeli, sikiliza! Sasa umekuwa taifa la Bwana Mungu wako.

Deuteronomy 27:9 in English

Deuteronomy 27:9 · Berean Standard Bible

Then Moses and the Levitical priests spoke to all Israel: “Be silent, O Israel, and listen! This day you have become the people of the LORD your God.

Context

7Toeni sadaka za amani juu yake, mkizila na kufurahia mbele za Bwana Mungu wenu. 8Nanyi mtaandika maneno yote ya sheria hii kwa wazi sana juu ya mawe haya ambayo mmesimamisha.” 9Kisha Mose na makuhani, ambao ni Walawi, wakawaambia Israeli wote, “Nyamaza ee Israeli, sikiliza! Sasa umekuwa taifa la Bwana Mungu wako. 10Mtii Bwana Mungu wako, na kufuata amri zake na maagizo ninayokupa leo.” 11Siku ile ile Mose akawaagiza watu:

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.