Kumbukumbu 27:7
Deuteronomy 27:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Toeni sadaka za amani juu yake, mkizila na kufurahia mbele za Bwana Mungu wenu.
Deuteronomy 27:7 in English
Deuteronomy 27:7 · Berean Standard Bible
There you are to sacrifice your peace offerings, eating them and rejoicing in the presence of the LORD your God.
Context
5Huko mjengeeni Bwana Mungu wenu madhabahu, madhabahu ya mawe. Msitumie kifaa chochote cha chuma juu yake. 6Jengeni madhabahu ya Bwana Mungu wenu kwa mawe ya shambani, na mtoe sadaka za kuteketezwa juu yake kwa Bwana Mungu wenu. 7Toeni sadaka za amani juu yake, mkizila na kufurahia mbele za Bwana Mungu wenu. 8Nanyi mtaandika maneno yote ya sheria hii kwa wazi sana juu ya mawe haya ambayo mmesimamisha.” 9Kisha Mose na makuhani, ambao ni Walawi, wakawaambia Israeli wote, “Nyamaza ee Israeli, sikiliza! Sasa umekuwa taifa la Bwana Mungu wako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.