Native Bible

Deuteronomy 27:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Jengeni madhabahu ya Bwana Mungu wenu kwa mawe ya shambani, na mtoe sadaka za kuteketezwa juu yake kwa Bwana Mungu wenu.

Deuteronomy 27:6 in English

Deuteronomy 27:6 · Berean Standard Bible

You shall build the altar of the LORD your God with uncut stones and offer upon it burnt offerings to the LORD your God.

Context

4Mtakapokuwa mmevuka Yordani, simamisheni mawe haya juu ya Mlima Ebali, kama ninavyowaagiza leo, mkayatie lipu. 5Huko mjengeeni Bwana Mungu wenu madhabahu, madhabahu ya mawe. Msitumie kifaa chochote cha chuma juu yake. 6Jengeni madhabahu ya Bwana Mungu wenu kwa mawe ya shambani, na mtoe sadaka za kuteketezwa juu yake kwa Bwana Mungu wenu. 7Toeni sadaka za amani juu yake, mkizila na kufurahia mbele za Bwana Mungu wenu. 8Nanyi mtaandika maneno yote ya sheria hii kwa wazi sana juu ya mawe haya ambayo mmesimamisha.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.