Native Bible

Deuteronomy 16:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mhesabu majuma saba tangu wakati mnapoanza kuchukua mundu kuvuna nafaka.

Deuteronomy 16:9 in English

Deuteronomy 16:9 · Berean Standard Bible

You are to count off seven weeks from the time you first put the sickle to the standing grain.

Context

7Okeni na mle mahali pale ambapo Bwana Mungu wenu atakapopachagua, kisha asubuhi mrudi kwenye mahema yenu. 8Kwa siku sita mtakula mikate isiyotiwa chachu na siku ya saba fanyeni kusanyiko kwa ajili ya Bwana Mungu wenu na msifanye kazi. 9Mhesabu majuma saba tangu wakati mnapoanza kuchukua mundu kuvuna nafaka. 10Kisha msherehekee Sikukuu ya Majuma kwa Bwana Mungu wenu kwa kutoa sadaka ya hiari kwa kadiri ya baraka ambayo Bwana Mungu wenu amewapa. 11Shangilieni mbele za Bwana Mungu wenu mahali atakapopachagua kama makao ya Jina lake, ninyi, wana wenu na binti zenu, watumishi wenu wa kiume na wa kike, Walawi walio katika miji yenu, na wageni, yatima na wajane waishio miongoni mwenu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.