Kumbukumbu 16:7
Deuteronomy 16:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Okeni na mle mahali pale ambapo Bwana Mungu wenu atakapopachagua, kisha asubuhi mrudi kwenye mahema yenu.
Deuteronomy 16:7 in English
Deuteronomy 16:7 · Berean Standard Bible
And you shall roast it and eat it in the place the LORD your God will choose, and in the morning you shall return to your tents.
Context
5Kamwe msitoe dhabihu ya Pasaka katika mji wowote ambao Bwana Mungu wenu amewapa, 6isipokuwa mahali atakapopachagua kama makao kwa ajili ya Jina lake. Hapo ndipo lazima mtoe dhabihu ya Pasaka jioni, jua litakapotua, iwe kumbukumbu yenu ya kutoka Misri. 7Okeni na mle mahali pale ambapo Bwana Mungu wenu atakapopachagua, kisha asubuhi mrudi kwenye mahema yenu. 8Kwa siku sita mtakula mikate isiyotiwa chachu na siku ya saba fanyeni kusanyiko kwa ajili ya Bwana Mungu wenu na msifanye kazi. 9Mhesabu majuma saba tangu wakati mnapoanza kuchukua mundu kuvuna nafaka.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.