Native Bible

Deuteronomy 14:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini viumbe vyote vyenye mabawa vilivyo safi mwaweza kula.

Deuteronomy 14:20 in English

Deuteronomy 14:20 · Berean Standard Bible

But you may eat any clean bird.

Context

18korongo, koikoi wa aina yoyote, hudihudi na popo. 19Wadudu wote warukao kwa makundi ni najisi kwenu, msiwale. 20Lakini viumbe vyote vyenye mabawa vilivyo safi mwaweza kula. 21Msile kitu chochote mtakachokuta kimekufa. Mnaweza kumpa mgeni yeyote anayeishi katika mojawapo ya miji yenu, naye anaweza kula au mnaweza kumuuzia mtu wa nchi nyingine. Lakini ninyi ni watu watakatifu kwa Bwana Mungu wenu. Msitokose mwana-mbuzi katika maziwa ya mama yake. 22Hakikisheni mmetenga sehemu ya kumi ya mazao yote ya mashamba yenu kila mwaka.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.