Native Bible

Deuteronomy 14:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mnaweza kula ndege yeyote aliye safi.

Deuteronomy 14:11 in English

Context

9Katika viumbe hai vyote viishivyo kwenye maji, mnaweza kula yeyote aliye na mapezi na magamba. 10Lakini chochote kisicho na mapezi na magamba msile; kwenu ni najisi. 11Mnaweza kula ndege yeyote aliye safi. 12Lakini wafuatao msiwale: tai, furukombe, kipungu, 13kengewa mwekundu, kengewa mweusi, mwewe wa aina yoyote,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.