Native Bible

Deuteronomy 14:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kengewa mwekundu, kengewa mweusi, mwewe wa aina yoyote,

Deuteronomy 14:13 in English

Deuteronomy 14:13 · Berean Standard Bible

the red kite, the falcon, any kind of kite,

Context

11Mnaweza kula ndege yeyote aliye safi. 12Lakini wafuatao msiwale: tai, furukombe, kipungu, 13kengewa mwekundu, kengewa mweusi, mwewe wa aina yoyote, 14kunguru wa aina yoyote, 15mbuni, kiruka-njia, dudumizi, kipanga wa aina yoyote,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.