Kumbukumbu 1:32
Deuteronomy 1:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Pamoja na hili, hamkumtegemea Bwana Mungu wenu,
Deuteronomy 1:32 in English
Deuteronomy 1:32 · Berean Standard Bible
But in spite of all this, you did not trust the LORD your God,
Context
30Bwana Mungu wenu anayewatangulia, atawapigania, kama alivyofanya kwa ajili yenu huko Misri, mbele ya macho yenu hasa, 31na pia huko jangwani. Huko mliona jinsi Bwana Mungu wenu alivyowachukua, kama baba amchukuavyo mwanawe, katika njia yote mliyoiendea mpaka mkafika mahali hapa.” 32Pamoja na hili, hamkumtegemea Bwana Mungu wenu, 33ambaye aliwatangulia katika safari yenu, kwa moto usiku na kwa wingu mchana, kuwatafutia mahali penu pa kupiga kambi na kuwaonyesha njia mtakayoiendea. 34Wakati Bwana aliposikia lile mlilosema, alikasirika, akaapa, akasema:
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.