Native Bible

Deuteronomy 1:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

na pia huko jangwani. Huko mliona jinsi Bwana Mungu wenu alivyowachukua, kama baba amchukuavyo mwanawe, katika njia yote mliyoiendea mpaka mkafika mahali hapa.”

Deuteronomy 1:31 in English

Deuteronomy 1:31 · Berean Standard Bible

and in the wilderness, where the LORD your God carried you, as a man carries his son, all the way by which you traveled until you reached this place.”

Context

29Ndipo nikawaambia, “Msihofu, wala msiwaogope. 30Bwana Mungu wenu anayewatangulia, atawapigania, kama alivyofanya kwa ajili yenu huko Misri, mbele ya macho yenu hasa, 31na pia huko jangwani. Huko mliona jinsi Bwana Mungu wenu alivyowachukua, kama baba amchukuavyo mwanawe, katika njia yote mliyoiendea mpaka mkafika mahali hapa.” 32Pamoja na hili, hamkumtegemea Bwana Mungu wenu, 33ambaye aliwatangulia katika safari yenu, kwa moto usiku na kwa wingu mchana, kuwatafutia mahali penu pa kupiga kambi na kuwaonyesha njia mtakayoiendea.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.