Native Bible

Colossians 3:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa sababu ya mambo haya, ghadhabu ya Mungu inakuja.

Colossians 3:6 in English

Colossians 3:6 · Berean Standard Bible

Because of these, the wrath of God is coming on the sons of disobedience.*

Context

4Wakati Kristo, aliye uzima wenu, atakapotokea, ndipo nanyi mtakapotokea pamoja naye katika utukufu. 5Kwa hiyo, ueni kabisa chochote kilicho ndani yenu cha asili ya kidunia: yaani uasherati, uchafu, tamaa mbaya, mawazo mabaya na ulafi, ambayo ndiyo ibada ya sanamu. 6Kwa sababu ya mambo haya, ghadhabu ya Mungu inakuja. 7Ninyi pia zamani mlienenda katika mambo haya mlipoishi maisha hayo. 8Lakini sasa yawekeni mbali nanyi mambo kama haya yote: yaani hasira, ghadhabu, uovu, masingizio na lugha chafu kutoka midomoni mwenu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.