Wakolosai 3:8
Colossians 3:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini sasa yawekeni mbali nanyi mambo kama haya yote: yaani hasira, ghadhabu, uovu, masingizio na lugha chafu kutoka midomoni mwenu.
Colossians 3:8 in English
Colossians 3:8 · Berean Standard Bible
But now you must put aside all such things as these: anger, rage, malice, slander, and filthy language from your lips.
Context
6Kwa sababu ya mambo haya, ghadhabu ya Mungu inakuja. 7Ninyi pia zamani mlienenda katika mambo haya mlipoishi maisha hayo. 8Lakini sasa yawekeni mbali nanyi mambo kama haya yote: yaani hasira, ghadhabu, uovu, masingizio na lugha chafu kutoka midomoni mwenu. 9Msiambiane uongo, kwa maana mmevua kabisa utu wenu wa kale pamoja na matendo yake, 10nanyi mmevaa utu mpya, unaofanywa upya katika ufahamu sawasawa na mfano wa Muumba wake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.