Wakolosai 3:4
Colossians 3:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wakati Kristo, aliye uzima wenu, atakapotokea, ndipo nanyi mtakapotokea pamoja naye katika utukufu.
Colossians 3:4 in English
Colossians 3:4 · Berean Standard Bible
When Christ, who is your * life, appears, then you also will appear with Him in glory.
Context
2Yafikirini mambo yaliyo juu, wala si ya duniani. 3Kwa maana ninyi mlikufa, nao uhai wenu sasa umefichwa pamoja na Kristo katika Mungu. 4Wakati Kristo, aliye uzima wenu, atakapotokea, ndipo nanyi mtakapotokea pamoja naye katika utukufu. 5Kwa hiyo, ueni kabisa chochote kilicho ndani yenu cha asili ya kidunia: yaani uasherati, uchafu, tamaa mbaya, mawazo mabaya na ulafi, ambayo ndiyo ibada ya sanamu. 6Kwa sababu ya mambo haya, ghadhabu ya Mungu inakuja.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.