Native Bible

Colossians 3:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yafikirini mambo yaliyo juu, wala si ya duniani.

Colossians 3:2 in English

Colossians 3:2 · Berean Standard Bible

Set your minds on things above, not on earthly things.

Context

1Basi, kwa kuwa mmefufuliwa pamoja na Kristo, yatafuteni yaliyo juu, Kristo alikoketi mkono wa kuume wa Mungu. 2Yafikirini mambo yaliyo juu, wala si ya duniani. 3Kwa maana ninyi mlikufa, nao uhai wenu sasa umefichwa pamoja na Kristo katika Mungu. 4Wakati Kristo, aliye uzima wenu, atakapotokea, ndipo nanyi mtakapotokea pamoja naye katika utukufu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.