Native Bible

Colossians 3:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Basi, kwa kuwa mmefufuliwa pamoja na Kristo, yatafuteni yaliyo juu, Kristo alikoketi mkono wa kuume wa Mungu.

Colossians 3:1 in English

Colossians 3:1 · Berean Standard Bible

Therefore, since you have been raised with Christ, strive for the things above, where Christ is seated at the right hand of God.

Context

1Basi, kwa kuwa mmefufuliwa pamoja na Kristo, yatafuteni yaliyo juu, Kristo alikoketi mkono wa kuume wa Mungu. 2Yafikirini mambo yaliyo juu, wala si ya duniani. 3Kwa maana ninyi mlikufa, nao uhai wenu sasa umefichwa pamoja na Kristo katika Mungu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.