Native Bible

Amos 1:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nitalivunja lango la Dameski; nitamwangamiza mfalme aliyeko katika Bonde la Aveni,* na yeye ambaye anaishika fimbo ya utawala katika Beth-Edeni. Watu wote wa Aramu watakwenda uhamishoni huko Kiri,” asema Bwana.

Amos 1:5 in English

Amos 1:5 · Berean Standard Bible

I will break down the gates of Damascus; I will cut off the ruler * of the Valley of Aven * and the one who wields the scepter in Beth-eden. The people of Aram will be exiled to Kir,” says the LORD.

Context

3Hili ndilo asemalo Bwana: “Kwa dhambi tatu za Dameski, hata kwa dhambi nne, sitaizuia ghadhabu yangu. Kwa sababu aliipura Gileadi kwa vyombo vya chuma vyenye meno. 4Nitatuma moto juu ya nyumba ya Hazaeli ambao utateketeza ngome za Ben-Hadadi. 5Nitalivunja lango la Dameski; nitamwangamiza mfalme aliyeko katika Bonde la Aveni,* na yeye ambaye anaishika fimbo ya utawala katika Beth-Edeni. Watu wote wa Aramu watakwenda uhamishoni huko Kiri,” asema Bwana. 6Hili ndilo asemalo Bwana: “Kwa dhambi tatu za Gaza, hata kwa dhambi nne, sitaizuia ghadhabu yangu. Kwa sababu walichukua mateka jumuiya nzima na kuwauza kwa Edomu, 7nitatuma moto juu ya kuta za Gaza ambao utateketeza ngome zake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.