Native Bible

Acts 5:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Saa tatu baadaye mkewe Anania akaingia, naye hana habari ya mambo yaliyotukia.

Acts 5:7 in English

Acts 5:7 · Berean Standard Bible

About three hours later his wife also came in, unaware of what had happened.

Context

5Anania aliposikia maneno haya akaanguka chini na kufa. Hofu kuu ikawapata wote waliosikia jambo lililokuwa limetukia. 6Vijana wakaja, wakaufunga mwili wake sanda, wakamchukua nje kumzika. 7Saa tatu baadaye mkewe Anania akaingia, naye hana habari ya mambo yaliyotukia. 8Petro akamuuliza, “Niambie, je, mliuza kiwanja kwa thamani hii?” Akajibu, “Ndiyo, tuliuza kwa thamani hiyo.” 9Ndipo Petro akamwambia, “Imekuwaje mkakubaliana kumjaribu Roho wa Bwana? Tazama! Nyayo za vijana waliomzika mumeo ziko mlangoni, wewe nawe watakuchukua nje.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.