Native Bible

Acts 4:36 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yosefu, Mlawi kutoka Kipro, ambaye mitume walimwita Barnaba (maana yake Mwana wa Faraja),

Acts 4:36 in English

Acts 4:36 · Berean Standard Bible

Joseph, a Levite from Cyprus, whom the apostles called Barnabas (meaning Son of Encouragement),

Context

34Wala hapakuwepo mtu yeyote miongoni mwao aliyekuwa mhitaji, kwa sababu mara kwa mara wale waliokuwa na mashamba na nyumba waliviuza, wakaleta thamani ya vitu vilivyouzwa, 35wakaiweka miguuni pa mitume, kila mtu akagawiwa kadiri ya mahitaji yake. 36Yosefu, Mlawi kutoka Kipro, ambaye mitume walimwita Barnaba (maana yake Mwana wa Faraja), 37aliuza shamba alilokuwa nalo, akaleta hizo fedha alizopata na kuziweka miguuni pa mitume.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.