Matendo 4:35
Acts 4:35 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
wakaiweka miguuni pa mitume, kila mtu akagawiwa kadiri ya mahitaji yake.
Acts 4:35 in English
Acts 4:35 · Berean Standard Bible
and lay them at the apostles’ feet for distribution to anyone as he had need.
Context
33Mitume wakatoa ushuhuda wa kufufuka kwa Bwana Yesu kwa nguvu nyingi na neema ya Mungu ilikuwa juu yao wote. 34Wala hapakuwepo mtu yeyote miongoni mwao aliyekuwa mhitaji, kwa sababu mara kwa mara wale waliokuwa na mashamba na nyumba waliviuza, wakaleta thamani ya vitu vilivyouzwa, 35wakaiweka miguuni pa mitume, kila mtu akagawiwa kadiri ya mahitaji yake. 36Yosefu, Mlawi kutoka Kipro, ambaye mitume walimwita Barnaba (maana yake Mwana wa Faraja), 37aliuza shamba alilokuwa nalo, akaleta hizo fedha alizopata na kuziweka miguuni pa mitume.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.