Native Bible

Acts 4:37 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

aliuza shamba alilokuwa nalo, akaleta hizo fedha alizopata na kuziweka miguuni pa mitume.

Acts 4:37 in English

Acts 4:37 · Berean Standard Bible

sold a field he owned, brought the money, and laid it at the apostles’ feet.

Context

35wakaiweka miguuni pa mitume, kila mtu akagawiwa kadiri ya mahitaji yake. 36Yosefu, Mlawi kutoka Kipro, ambaye mitume walimwita Barnaba (maana yake Mwana wa Faraja), 37aliuza shamba alilokuwa nalo, akaleta hizo fedha alizopata na kuziweka miguuni pa mitume.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.