Native Bible

Acts 15:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Walipomaliza kunena, Yakobo akasema, “Ndugu zangu, nisikilizeni.

Acts 15:13 in English

Acts 15:13 · Berean Standard Bible

When they had finished speaking, James declared, “Brothers, listen to me!

Context

11Lakini sisi tunaamini ya kuwa tunaokolewa kwa neema ya Bwana Yesu Kristo, kama wao wanavyookolewa.” 12Kusanyiko lote likakaa kimya, wakawasikiliza Paulo na Barnaba wakieleza jinsi Mungu alivyowatumia kutenda ishara na maajabu kwa watu wa Mataifa. 13Walipomaliza kunena, Yakobo akasema, “Ndugu zangu, nisikilizeni. 14Simoni amekwisha kutueleza jinsi Mungu, kwa mara ya kwanza alivyoonyesha kuhusika kwa kujichagulia watu kutoka watu wa Mataifa kwa ajili ya Jina lake. 15Maneno ya manabii yanakubaliana na jambo hili, kama ilivyoandikwa:

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.