Matendo 15:11
Acts 15:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini sisi tunaamini ya kuwa tunaokolewa kwa neema ya Bwana Yesu Kristo, kama wao wanavyookolewa.”
Acts 15:11 in English
Acts 15:11 · Berean Standard Bible
On the contrary, we believe it is through the grace of the Lord Jesus that we are saved, just as they are.”
Context
9Mungu hakutofautisha kati yetu na wao, bali alitakasa mioyo yao kwa imani. 10Sasa basi, mbona mnataka kumjaribu Mungu kwa kuweka kongwa shingoni mwa wanafunzi ambalo baba zetu wala sisi hatukuweza kulibeba? 11Lakini sisi tunaamini ya kuwa tunaokolewa kwa neema ya Bwana Yesu Kristo, kama wao wanavyookolewa.” 12Kusanyiko lote likakaa kimya, wakawasikiliza Paulo na Barnaba wakieleza jinsi Mungu alivyowatumia kutenda ishara na maajabu kwa watu wa Mataifa. 13Walipomaliza kunena, Yakobo akasema, “Ndugu zangu, nisikilizeni.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.