Native Bible

Acts 15:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mungu hakutofautisha kati yetu na wao, bali alitakasa mioyo yao kwa imani.

Acts 15:9 in English

Acts 15:9 · Berean Standard Bible

He made no distinction between us and them, for He cleansed their hearts by faith.

Context

7Baada ya majadiliano mengi, Petro akasimama na kusema, “Ndugu zangu, mnajua kwamba siku za kwanza Mungu alinichagua ili kwa midomo yangu watu wa Mataifa wapate kusikia ujumbe wa Injili na kuamini. 8Mungu, yeye ajuaye mioyo, alionyesha kwamba anawakubali kwa kuwapa Roho Mtakatifu kama vile alivyotupa sisi. 9Mungu hakutofautisha kati yetu na wao, bali alitakasa mioyo yao kwa imani. 10Sasa basi, mbona mnataka kumjaribu Mungu kwa kuweka kongwa shingoni mwa wanafunzi ambalo baba zetu wala sisi hatukuweza kulibeba? 11Lakini sisi tunaamini ya kuwa tunaokolewa kwa neema ya Bwana Yesu Kristo, kama wao wanavyookolewa.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.