Matendo 15:8
Acts 15:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mungu, yeye ajuaye mioyo, alionyesha kwamba anawakubali kwa kuwapa Roho Mtakatifu kama vile alivyotupa sisi.
Acts 15:8 in English
Acts 15:8 · Berean Standard Bible
And God, who knows the heart, showed His approval by giving the Holy Spirit to them, just as He did to us.
Context
6Mitume na wazee wakakutana pamoja ili kufikiri jambo hili. 7Baada ya majadiliano mengi, Petro akasimama na kusema, “Ndugu zangu, mnajua kwamba siku za kwanza Mungu alinichagua ili kwa midomo yangu watu wa Mataifa wapate kusikia ujumbe wa Injili na kuamini. 8Mungu, yeye ajuaye mioyo, alionyesha kwamba anawakubali kwa kuwapa Roho Mtakatifu kama vile alivyotupa sisi. 9Mungu hakutofautisha kati yetu na wao, bali alitakasa mioyo yao kwa imani. 10Sasa basi, mbona mnataka kumjaribu Mungu kwa kuweka kongwa shingoni mwa wanafunzi ambalo baba zetu wala sisi hatukuweza kulibeba?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.