Native Bible

Acts 13:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Nasi tunawaletea habari njema, kwamba yale Mungu aliyowaahidi baba zetu

Acts 13:32 in English

Acts 13:32 · Berean Standard Bible

And now we proclaim to you the good news: What God promised our fathers

Context

30Lakini Mungu alimfufua kutoka kwa wafu. 31Naye kwa siku nyingi akawatokea wale waliokuwa pamoja naye kuanzia Galilaya hadi Yerusalemu. Nao sasa wamekuwa mashahidi wake kwa watu wetu. 32“Nasi tunawaletea habari njema, kwamba yale Mungu aliyowaahidi baba zetu 33sasa ameyatimiza kwetu sisi watoto wao, kwa kumfufua Yesu, kama ilivyoandikwa katika Zaburi ya pili: “ ‘Wewe ni Mwanangu; leo mimi nimekuzaa.’ 34Kwa kuwa Mungu alimfufua kutoka kwa wafu asioze kamwe, alitamka maneno haya: “ ‘Nitakupa wewe baraka takatifu zilizo za hakika nilizomwahidi Daudi.’

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.