Matendo 13:30
Acts 13:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini Mungu alimfufua kutoka kwa wafu.
Acts 13:30 in English
Acts 13:30 · Berean Standard Bible
But God raised Him from the dead,
Context
28Ijapokuwa hawakupata sababu yoyote ya kumhukumu kifo, walimwomba Pilato aamuru auawe. 29Walipokwisha kufanya yale yote yaliyoandikwa kumhusu, walimshusha kutoka msalabani na kumzika kaburini. 30Lakini Mungu alimfufua kutoka kwa wafu. 31Naye kwa siku nyingi akawatokea wale waliokuwa pamoja naye kuanzia Galilaya hadi Yerusalemu. Nao sasa wamekuwa mashahidi wake kwa watu wetu. 32“Nasi tunawaletea habari njema, kwamba yale Mungu aliyowaahidi baba zetu
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.