Matendo 13:18
Acts 13:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa muda wa miaka arobaini alivumilia matendo yao walipokuwa jangwani.
Acts 13:18 in English
Acts 13:18 · Berean Standard Bible
He endured their conduct for about forty years in the wilderness.
Context
16Paulo akasimama, akawapungia mkono na kusema: “Enyi wanaume wa Israeli na ninyi nyote mnaomcha Mungu. 17Mungu wa watu hawa wa Israeli aliwachagua baba zetu, akawafanya kustawi walipokuwa huko Misri, kwa uwezo mwingi akawaongoza na kuwatoa katika nchi ile. 18Kwa muda wa miaka arobaini alivumilia matendo yao walipokuwa jangwani. 19Naye baada ya kuyaangamiza mataifa saba waliokuwa wakiishi katika nchi ya Kanaani, akawapa Waisraeli nchi yao iwe urithi wao. 20Haya yote yalichukua kama muda wa miaka 450.
“Baada ya haya, Mungu akawapa waamuzi mpaka wakati wa nabii Samweli.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.