Matendo 13:20
Acts 13:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Haya yote yalichukua kama muda wa miaka 450. “Baada ya haya, Mungu akawapa waamuzi mpaka wakati wa nabii Samweli.
Acts 13:20 in English
Acts 13:20 · Berean Standard Bible
All this took about 450 years. After this, God gave them judges until the time of Samuel the prophet.
Context
18Kwa muda wa miaka arobaini alivumilia matendo yao walipokuwa jangwani. 19Naye baada ya kuyaangamiza mataifa saba waliokuwa wakiishi katika nchi ya Kanaani, akawapa Waisraeli nchi yao iwe urithi wao. 20Haya yote yalichukua kama muda wa miaka 450.
“Baada ya haya, Mungu akawapa waamuzi mpaka wakati wa nabii Samweli. 21Ndipo watu wakaomba wapewe mfalme, naye Mungu akawapa Sauli mwana wa Kishi wa kabila la Benyamini, aliyetawala kwa miaka arobaini. 22Baada ya kumwondoa Sauli katika ufalme, akawainulia Daudi kuwa mfalme wao. Mungu pia alimshuhudia, akisema, ‘Nimemwona Daudi mwana wa Yese, mtu anayeupendeza moyo wangu, atakayetimiza mapenzi yangu yote.’
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.