Native Bible

Acts 10:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ile sauti ikasema naye mara ya pili, “Usikiite najisi kitu chochote Mungu alichokitakasa.”

Acts 10:15 in English

Acts 10:15 · Berean Standard Bible

The voice spoke to him a second time: “Do not call anything impure that God has made clean.”

Context

13Ndipo sauti ikamwambia “Petro, ondoka, uchinje na ule.” 14Petro akajibu, “La hasha Bwana! Sijawahi kamwe kula kitu chochote kilicho najisi.” 15Ile sauti ikasema naye mara ya pili, “Usikiite najisi kitu chochote Mungu alichokitakasa.” 16Jambo hili lilitokea mara tatu na ghafula ile nguo ikarudishwa mbinguni. 17Wakati Petro akiwa bado anajiuliza kuhusu maana ya maono haya, wale watu waliokuwa wametumwa na Kornelio wakaipata nyumba ya Simoni mtengenezaji wa ngozi wakawa wamesimama mbele ya lango.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.