Native Bible

Acts 10:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndipo sauti ikamwambia “Petro, ondoka, uchinje na ule.”

Acts 10:13 in English

Acts 10:13 · Berean Standard Bible

Then a voice said to him: “Get up, Peter, kill and eat!”

Context

11Akaona mbingu zimefunguka na kitu kama nguo kubwa kikishushwa duniani kwa ncha zake nne. 12Ndani yake walikuwepo aina zote za wanyama wenye miguu minne, nao watambaao nchini, na ndege wa angani. 13Ndipo sauti ikamwambia “Petro, ondoka, uchinje na ule.” 14Petro akajibu, “La hasha Bwana! Sijawahi kamwe kula kitu chochote kilicho najisi.” 15Ile sauti ikasema naye mara ya pili, “Usikiite najisi kitu chochote Mungu alichokitakasa.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.