Native Bible

3 John 1:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ilinifurahisha sana baadhi ya ndugu walipokuja na kutueleza juu ya uaminifu wako katika kweli na jinsi unavyoendelea kuenenda katika hiyo kweli.

3 John 1:3 in English

3 John 1:3 · Berean Standard Bible

For I was overjoyed when the brothers came and testified about your devotion to the truth, in which you continue to walk.

Context

1Mzee: Kwa Gayo rafiki yangu, nimpendaye katika kweli. 2Mpendwa, naomba ufanikiwe katika mambo yote na kuwa na afya njema kama vile roho yako ifanikiwavyo. 3Ilinifurahisha sana baadhi ya ndugu walipokuja na kutueleza juu ya uaminifu wako katika kweli na jinsi unavyoendelea kuenenda katika hiyo kweli. 4Sina furaha kubwa kuliko hii, kusikia kwamba watoto wangu wanaenenda katika kweli. 5Rafiki mpendwa, wewe ni mwaminifu kwa yale unayowatendea ndugu, ingawa wao ni wageni kwako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.