Native Bible

3 John 1:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mpendwa, naomba ufanikiwe katika mambo yote na kuwa na afya njema kama vile roho yako ifanikiwavyo.

3 John 1:2 in English

3 John 1:2 · Berean Standard Bible

Beloved, I pray that in every way you may prosper and enjoy good health, as your soul also prospers.

Context

1Mzee: Kwa Gayo rafiki yangu, nimpendaye katika kweli. 2Mpendwa, naomba ufanikiwe katika mambo yote na kuwa na afya njema kama vile roho yako ifanikiwavyo. 3Ilinifurahisha sana baadhi ya ndugu walipokuja na kutueleza juu ya uaminifu wako katika kweli na jinsi unavyoendelea kuenenda katika hiyo kweli. 4Sina furaha kubwa kuliko hii, kusikia kwamba watoto wangu wanaenenda katika kweli.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.