Native Bible

2 Timothy 4:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nimevipiga vita vizuri, mashindano nimeyamaliza, imani nimeilinda.

2 Timothy 4:7 in English

2 Timothy 4:7 · Berean Standard Bible

I have fought the good fight, I have finished the race, I have kept the faith.

Context

5Kwa habari yako wewe, vumilia mateso, fanya kazi ya mhubiri wa Injili, timiza wajibu wote wa huduma yako. 6Kwa maana mimi sasa ni tayari kumiminwa kama sadaka ya kinywaji, nayo saa yangu ya kuondoka imetimia. 7Nimevipiga vita vizuri, mashindano nimeyamaliza, imani nimeilinda. 8Sasa nimewekewa taji ya haki ambayo Bwana, mwamuzi wa haki, atanitunukia siku ile: wala si mimi tu, bali pia wote ambao wamengoja kwa shauku kudhihirishwa kwake. 9Jitahidi kuja kwangu upesi

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.