Native Bible

2 Timothy 4:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Jitahidi kuja kwangu upesi

2 Timothy 4:9 in English

2 Timothy 4:9 · Berean Standard Bible

Make every effort to come to me quickly,

Context

7Nimevipiga vita vizuri, mashindano nimeyamaliza, imani nimeilinda. 8Sasa nimewekewa taji ya haki ambayo Bwana, mwamuzi wa haki, atanitunukia siku ile: wala si mimi tu, bali pia wote ambao wamengoja kwa shauku kudhihirishwa kwake. 9Jitahidi kuja kwangu upesi 10kwa sababu Dema, kwa kuupenda ulimwengu, ameniacha na amekwenda Thesalonike. Kreske amekwenda Galatia na Tito amekwenda Dalmatia. 11Ni Luka peke yake aliye hapa pamoja nami. Mtafute Marko uje naye kwa sababu ananifaa sana katika huduma yangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.