2 Timotheo 4:5
2 Timothy 4:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa habari yako wewe, vumilia mateso, fanya kazi ya mhubiri wa Injili, timiza wajibu wote wa huduma yako.
2 Timothy 4:5 in English
2 Timothy 4:5 · Berean Standard Bible
But you, be sober in all things, endure hardship, do the work of an evangelist, fulfill your ministry.
Context
3Maana wakati utakuja watu watakapokataa kuyakubali mafundisho yenye uzima. Badala yake, ili kutimiza tamaa zao wenyewe, watajikusanyia idadi kubwa ya walimu wapate kuwaambia yale ambayo masikio yao yanayowasha yanatamani kuyasikia. 4Watakataa kusikiliza kweli na kuzigeukia hadithi za uongo. 5Kwa habari yako wewe, vumilia mateso, fanya kazi ya mhubiri wa Injili, timiza wajibu wote wa huduma yako. 6Kwa maana mimi sasa ni tayari kumiminwa kama sadaka ya kinywaji, nayo saa yangu ya kuondoka imetimia. 7Nimevipiga vita vizuri, mashindano nimeyamaliza, imani nimeilinda.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.