Native Bible

2 Thessalonians 3:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini msimhesabu kuwa adui, bali mwonyeni kama ndugu.

2 Thessalonians 3:15 in English

2 Thessalonians 3:15 · Berean Standard Bible

Yet do not regard him as an enemy, but warn him as a brother.

Context

13Kwa upande wenu, ndugu, ninyi kamwe msichoke katika kutenda mema. 14Ikiwa mtu yeyote hayatii maagizo yetu yaliyoko katika barua hii, mwangalieni sana mtu huyo. Msishirikiane naye, ili apate kuona aibu. 15Lakini msimhesabu kuwa adui, bali mwonyeni kama ndugu. 16Basi, Bwana wa amani mwenyewe awapeni amani nyakati zote na kwa kila njia. Bwana awe nanyi nyote. 17Mimi, Paulo, ninaandika salamu hizi kwa mkono wangu mwenyewe. Hii ndio alama ya utambulisho katika barua zangu zote. Hivi ndivyo niandikavyo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.