2 Wathesalonike 3:17
2 Thessalonians 3:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mimi, Paulo, ninaandika salamu hizi kwa mkono wangu mwenyewe. Hii ndio alama ya utambulisho katika barua zangu zote. Hivi ndivyo niandikavyo.
2 Thessalonians 3:17 in English
2 Thessalonians 3:17 · Berean Standard Bible
This greeting is in my own hand—Paul. This is my mark in every letter; it is the way I write.
Context
15Lakini msimhesabu kuwa adui, bali mwonyeni kama ndugu. 16Basi, Bwana wa amani mwenyewe awapeni amani nyakati zote na kwa kila njia. Bwana awe nanyi nyote. 17Mimi, Paulo, ninaandika salamu hizi kwa mkono wangu mwenyewe. Hii ndio alama ya utambulisho katika barua zangu zote. Hivi ndivyo niandikavyo. 18Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe nanyi nyote. Amen.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.