Native Bible

2 Thessalonians 3:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe nanyi nyote. Amen.

2 Thessalonians 3:18 in English

2 Thessalonians 3:18 · Berean Standard Bible

The grace of our Lord Jesus Christ be with all of you.*

Context

16Basi, Bwana wa amani mwenyewe awapeni amani nyakati zote na kwa kila njia. Bwana awe nanyi nyote. 17Mimi, Paulo, ninaandika salamu hizi kwa mkono wangu mwenyewe. Hii ndio alama ya utambulisho katika barua zangu zote. Hivi ndivyo niandikavyo. 18Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe nanyi nyote. Amen.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.