Native Bible

2 Thessalonians 3:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ikiwa mtu yeyote hayatii maagizo yetu yaliyoko katika barua hii, mwangalieni sana mtu huyo. Msishirikiane naye, ili apate kuona aibu.

2 Thessalonians 3:14 in English

2 Thessalonians 3:14 · Berean Standard Bible

Take note of anyone who does not obey the instructions we have given in this letter. Do not associate with him, so that he may be ashamed.

Context

12Basi watu kama hao tunawaagiza na kuwahimiza katika Bwana Yesu Kristo, kwamba wafanye kazi kwa utulivu kwa ajili ya chakula chao wenyewe. 13Kwa upande wenu, ndugu, ninyi kamwe msichoke katika kutenda mema. 14Ikiwa mtu yeyote hayatii maagizo yetu yaliyoko katika barua hii, mwangalieni sana mtu huyo. Msishirikiane naye, ili apate kuona aibu. 15Lakini msimhesabu kuwa adui, bali mwonyeni kama ndugu. 16Basi, Bwana wa amani mwenyewe awapeni amani nyakati zote na kwa kila njia. Bwana awe nanyi nyote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.