2 Wathesalonike 1:6
2 Thessalonians 1:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mungu ni mwenye haki: yeye atawalipa mateso wale wawatesao ninyi
2 Thessalonians 1:6 in English
2 Thessalonians 1:6 · Berean Standard Bible
After all, it is only right for God to repay with affliction those who afflict you,
Context
4Ndiyo sababu miongoni mwa makanisa ya Mungu, tunajivuna kuhusu saburi yenu na imani mliyo nayo katika mateso yote na dhiki mnazostahimili. 5Haya yote ni uthibitisho kwamba hukumu ya Mungu ni ya haki, na kwa sababu hiyo ninyi mtahesabiwa kwamba mnastahili kuwa wa Ufalme wa Mungu, mnaoteswa kwa ajili wake. 6Mungu ni mwenye haki: yeye atawalipa mateso wale wawatesao ninyi 7na kuwapa ninyi mnaoteseka raha pamoja na sisi, wakati Bwana Yesu atakapodhihirishwa kutoka mbinguni katika mwali wa moto pamoja na malaika wake wenye nguvu. 8Atawaadhibu wale wasiomjua Mungu na ambao hawakuitii Injili ya Bwana wetu Yesu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.