2 Samweli 8:15
2 Samuel 8:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Daudi akatawala Israeli yote, akitenda lililo haki na sawa kwa watu wake wote.
2 Samuel 8:15 in English
2 Samuel 8:15 · Berean Standard Bible
Thus David reigned over all Israel and administered justice and righteousness for all his people:
Context
13Naye Daudi akapata sifa baada ya kurudi kutoka kuwaua Waedomu 18,000 katika Bonde la Chumvi. 14Akaweka kambi za askari walinzi katika Edomu yote, nao Waedomu wakawa chini ya Daudi. Bwana alimpatia Daudi ushindi kila alipokwenda. 15Daudi akatawala Israeli yote, akitenda lililo haki na sawa kwa watu wake wote. 16Yoabu mwana wa Seruya alikuwa jemadari wa jeshi; Yehoshafati mwana wa Ahiludi alikuwa mweka kumbukumbu; 17Sadoki mwana wa Ahitubu na Ahimeleki mwana wa Abiathari walikuwa makuhani; Seraya alikuwa mwandishi;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.