2 Samweli 8:17
2 Samuel 8:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Sadoki mwana wa Ahitubu na Ahimeleki mwana wa Abiathari walikuwa makuhani; Seraya alikuwa mwandishi;
2 Samuel 8:17 in English
2 Samuel 8:17 · Berean Standard Bible
Zadok son of Ahitub and Ahimelech son of Abiathar were priests; Seraiah * was the scribe;
Context
15Daudi akatawala Israeli yote, akitenda lililo haki na sawa kwa watu wake wote. 16Yoabu mwana wa Seruya alikuwa jemadari wa jeshi; Yehoshafati mwana wa Ahiludi alikuwa mweka kumbukumbu; 17Sadoki mwana wa Ahitubu na Ahimeleki mwana wa Abiathari walikuwa makuhani; Seraya alikuwa mwandishi; 18Benaya mwana wa Yehoyada alikuwa msimamizi wa Wakerethi na Wapelethi; nao wana wa Daudi walikuwa washauri wa mfalme.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.