2 Samweli 8:16
2 Samuel 8:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yoabu mwana wa Seruya alikuwa jemadari wa jeshi; Yehoshafati mwana wa Ahiludi alikuwa mweka kumbukumbu;
2 Samuel 8:16 in English
2 Samuel 8:16 · Berean Standard Bible
Joab son of Zeruiah was over the army; Jehoshaphat son of Ahilud was the recorder;
Context
14Akaweka kambi za askari walinzi katika Edomu yote, nao Waedomu wakawa chini ya Daudi. Bwana alimpatia Daudi ushindi kila alipokwenda. 15Daudi akatawala Israeli yote, akitenda lililo haki na sawa kwa watu wake wote. 16Yoabu mwana wa Seruya alikuwa jemadari wa jeshi; Yehoshafati mwana wa Ahiludi alikuwa mweka kumbukumbu; 17Sadoki mwana wa Ahitubu na Ahimeleki mwana wa Abiathari walikuwa makuhani; Seraya alikuwa mwandishi; 18Benaya mwana wa Yehoyada alikuwa msimamizi wa Wakerethi na Wapelethi; nao wana wa Daudi walikuwa washauri wa mfalme.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.