2 Samweli 1:9
2 Samuel 1:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Kisha akaniambia, ‘Nikaribie mimi na uniue! Niko katika maumivu makali ya kifo, lakini bado ningali hai.’
2 Samuel 1:9 in English
2 Samuel 1:9 · Berean Standard Bible
Then he begged me, ‘Stand over me and kill me, for agony has seized me, but my life still lingers.’
Context
7Alipogeuka na kuniona, akaniita, nami nikasema, ‘Je, nifanye nini?’ 8“Akaniuliza, ‘Wewe ni nani?’
“Nikamjibu, ‘Mimi ni Mwamaleki.’ 9“Kisha akaniambia, ‘Nikaribie mimi na uniue! Niko katika maumivu makali ya kifo, lakini bado ningali hai.’ 10“Kwa hiyo nikamkaribia nikamuua, kwa sababu nilijua kwamba baada ya kuanguka hangeweza kupona. Nami nikachukua lile taji lililokuwa kichwani mwake na utepe uliokuwa mkononi mwake nami nimevileta hapa kwa bwana wangu.” 11Ndipo Daudi pamoja na watu wote waliokuwa pamoja naye wakazishika nguo zao na kuzirarua.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.